ILIKUWA KAMA PICHA YA KIHINDI MASIKIONI MWA WATU WOTE WALIO TEGEA SIKIO KILA HATUA YA YANAYOJIRI KWA WANAHARAKATI WA MOVEMENT YA ANTI VIRUS PALE AMBAPO MUASISI NA MUANZILISHI WA HARAKATI HIZI MH. MBUNGE JOSEPH MBILINYI aka SUGU AMBAPO ALIKETI KWA MEZA MOJA KWA MAZUNGUMZO NA HASIMU WAKE NAMBA MOJA BWANA RUGE MUTAHABA ILI KUTAFUTA SULUHU YA TOFAUTI ZAO NA KUFIKIA MAAZIMIO AMBAYO KWA KILA MTU ALIKUWA NA MTAZAMO WAKE. NAWEZA SEMA CHURA HUPENDA MAJI LAKINI SIO YA MOTO, BASI HATA WATU HUPENDA VITA LAKINI SIO KAMA ILE YA DUNIA MAANA HUWA NA MADHARA DUNIANI KOTE HIVYO KILA MTU BAADA YA VITA HUWA BUSY KUJIJENGA NA KUJIIMARISHA KIUCHUMI , KIJAMII NA KISIASA KWA UJUMLA ILI KUEPUKA KUWA OMBAOMBA MBELE YA MATYCOON WENZAKE NA AKAJA FANYWA MTUMWA MBELE YA ALIO WATUMA MWANZO.
SIO SIRI TANGU HIZI HARAKATI ZINAANZA HAKUNA ALIYETARAJIA KUWA KUNGETOKEA HATA SIKU MOJA TUKIO KAMA HILI AMBALO LIMESHITUA AKILI PIA HISIA ZA WENGI HIVYO KUSABABISHA WATU NAO KUSEMA MENGI SANA YAKIWEPO HATA YASIO NA MSINGI JUU YA HARAKATI HIZI, WAPO WALIO TUKANA HATA MATUSI, WAPO WALIO JARIBU HATA KUPOTOSHA KWENYE REDIO ZAO, WAPO WALIOLIA , WAPO WALIO ZIMIA, PIA WAPO WALIO JARIBU HATA KUFANANISHA HARAKATI HIZI ZA ANTI VIRUS NA MGONJWA AMBAYE LABDA ALIKUWA TAYARI MIKONONI MWA ISRAEL TAYARI KWA SALA ZAKE ZA MWISHO KWENDA KWENYE KIKAANGO CHA HUKUMU KUZIMU AU PEPONI, LAKINI CHA AJABU LAWAMA ZOTE NA MANENO YOTE YALIYO NENWA NI YALE TU KUELEKEA UPANDE WA FAMILIA YA ANTI VIRUS HALI KAMA HAWA NDO WALIO KUWA NA HAJA YA HAKI NA SIO WALE WA UPANDE WA PILI CHINI YA RUGE, HAPO NAJARIBU KUSEMA HATA WALE WATANGAZAJI WA RADIO ILIYOMAARUFU KAMA RADIO YA WAFU PINDI MAZUNGUMZO YALIPOFANYIKA WAO WALIENDELEZA YALE MAJUNGU YAO TENA KWA KUONGEZA VIONJO VYENYE KUKASHIFU UPANDE MMOJA PASI KUJUA KUWA HUENDA HATA BOSI WAO RUGE HAKUTAKA KUENDELEA KUKAANGWA NA KUNYONGWA NA HAWA JAMAA WA MAGENGE KWANI KWELI ILIKUWA NI VITA AMBAYO KWA UPANDE MMOJA WAPIGANAJI WALIKUWA NA MSAADA WA UMMA NA UPANDE MWINGINE ILIKUWA NI NGUVU YA SIASA LABDA KIDOGO NA PESA. HATA WALE WALIOPO NDANI YA NYUMBA YA ANTI VIRUS KAMA KAWA ILIKUWA NI KAMA PATASHIKA NGUO KUCHANWA HAKUNA ALOKUWA NA JIBU KWA ALICHOKUWA AKISIKIA AU KUULIZWA HIVYO KILA MMOJA ALIKUWA NA JIBU LAKE LA KUWATAKA WANAO MUULIZA KUWA ASIWE NA HARAKA KWANI UVUMILIZU NDO MPANG MZIMA, AMBAPO WENGI WAPO TULIKIMBIA HATA MITANDAO YA KIJAMII KWA KUOGOPA KUSOMA AU KUKUTANA NA WATU WENYE MANENO YANAYOONESHA UGUMU WA SURA ZAO BILA KIFICHO KULIMNGANA NA KILE WALICHOKUWA WANAKISIKIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI WATU WALIJAA UEPO WA HALI YA JUU NA KUSEMA KILA ALICHOWEZA KUSEA LAKINI HAKUNA ALIE JARIBU KUKAA KIMYA KWA MDA NA KUTAFAKARI HAYA YALIO JIRI.
NANUKUU MANENO YA SUGU YA HIVI PUNDE KATIKA FACEBOOK
‘’ Joseph Mbilinyi
____KAMA KWELI UNAELEWA FALSAFA YA HARAKATI KUWA PALE AMBAPO MEZA INATUMIKA NI BAADA YA KUONA KUWA ILE VITA YA LIVE IMELETA MADHARA AU MAFANIKIO SO MAELEWANO HUFUATA NA MAKUBALIANO HUFIKIWA ILI KUFANIKISHA ZILE SHAUKU NA MATAKWA YA WALE WALIPO UPANDE WA WATAKA HAKI KUWEZA KUCHUKUA NAFASI YA UTENDAJI, NACHUKUA FURSA HII KUANDIKA HAYA HUKU HEADFONES ZANGU ZIKITWANGA NGOMA ZA ANTI VIRUS VOLUME ZOTE MBILI ONGEZA NA ZILE NYIMBO CHACHE AMBAZO HAZIKUWA PUBLISHED SIO SIRI NAPATA UJASIRI WA KUITA HUU NI KUWA NI USHINDI AMBAPO KUJUA YATAKA KUELEWA HOJA YA KIINI CHA YALE MAKUBALIANO KATI YA SUGU NA RUGE KWANI INAONYESHA DHAHIRI KUWAKWELI RUGE ALIKUWA ANABANA WASANII HII ILIFANYWA KWA STAILI YA KUFISADI MALIPO YAO NA HATA KUBANIA KAZI ZAO KWENYE BAADHI YA VITUO VYA RADIO AMBAPO KWA KUKUTANA NA MTETEA HAKI AMBAE ALISIMAMA KATIKA MSIMAMO AMBAO ULIWASHNGAZA WENGI KWANI WENGI WALIDHANI LABBDA SUGU ANGE DIRIKI HATA KUACHANA KABISA NA MASUALA YA MUZIKI KWANI KAZI ALOPEWA NA WANA JIMBO WA MBEYA MJINI ILITOSHA KUMFANYA YEYE KUWA BUSY NA OFISI NA MAMBO MENGINE YA KIUTENDAJI LAKINI HAKUWA HIVYO ALIUNGANISHA NGUVU YA WASANII WALIOONEKANA WANAFANYIWA NDIVYO SIVYO NA BAADHI YA WADAU WA MUZIKI NA KUFANYA NAO HARAKATI AMBAPO WASANII HAO WAMEIPATA NAFUU NA SAUTI ZAO ZIMESIKIKA MBELE YA JAMII HIVYO YALE MATARAJIO YAO IKIWA NI PAMOJA NA HAKI ZAO MBELE YA MAMENEJA MASOKO PIA MA DJ NA MA REDIO PRESENTER WALIO KUWA NA TABIA ZA UWAKI WA KUFISADI KAZI ZA WASANII NA MALIPO YAO AMBAPO SASA IMANI YETU NI KUWA HILO LIMEFIKIA KIKOMO CHAKE NA KINACHOFUATA SASA NI UTEKEREZAJI.
VINEGA HUU NI USHINDI KWENU KWANI UKIONA ADUI AMEKUBALI KUASILIMU AMRI NA KUYAFUATA YALE MLOYATAKA BASI HAUKUNA HAJA YA KUENDELEA KULAUMU WALA KUSHANGAA, HAPA NDO PALE SASA TANATARAJI KUONA MENGI YA KIMAENDELEO YANAFANYIKA HAKUNA CHA KULALAMIKA NJIA TUMESHAONESHWA SO TUIPITIE NA KUITUMIA IPASAVYO.
UPEPO WA WALE WANAOENDELEA KUPOSTI MATUSI SIO MBAYA WATAELEWA TU MBELE YA SAFARI, PIA KWA WANANCHI WA MBEYA WACHACHE WANA SEMA SUGU KAWA DIS APPOINT YAP YAWEZA KUWA KWELI LAKINI KILICHO KUWEPO KATIKA HILI HAKIIJENGI MBEYA WALA SIO WOTE WALIMCHAGUA SUGU ETI KWA SABABU ANA BEEF NA WAFU TUWE WAELEWA WA MAMBO NA TUSIWE WATU WA KULAUMU KILA KITU NA KUTUKANA SIO LENGO LA HARAKATI NA WANA HARAKATI WENYEWE.
WALIO ELEWA NA WAENDELEE KUELEWESHA WENGINE KWANI MWISHO WATU WATAELEWA ZAIDI, HATUWEZI ISHI KWENYE VITA MILELE, HAKI NZURI INAYOPIGANIWA NI ILE AMBAYO INAPATIKANA NA SIO KUSUBIRIWA SO HAKI IKO MIKONONI MWA WASANII, WALA TUSIPOTOSHE KUHUSU MAKUBALIANO YA SUGU NA RUGE , HAKUNA PERSONAL AGREEMENT ILIYOZUNGUMZIWA SO USIINGOLEE KWA JAMII MAANA UTAWAFANYA WASIO ELEWA WAELEWE VIBAYA HILI SUALA.
TUNAITAJI MUAFAKA KAMA HUU PIA KATIKA MAMBO KAMA RICHMOND, EPA, PIA MEREMETA KWANI NDIO SURUHU NA SIO KUYAFANYA YAENDELEE KUWA KAMA MISUMARI KATIKA MIOYO YA WATANZANIA NA WANYONGE KWA UJUMLA. TULIHITAJI MIAFAKA AMBAYO INGETOA HAKI NA MAJIBU YA VILIO VYA WANAJAMII JUU YA MATATIZO YAO. USIUMIZWE KICHWA KWA YANAYO SEMWA KWANI HAYO YAPO TU TENA YAPO SANA ZAIDI NI KUJARIBU KUHITAJI UKWELI NA KUTAFUTA UFUMBUZI SIO UFUMBAZI.
NIMALIZE KWA KU QOUTE MANENO HAYA
The world always makes the assumption that the exposure of an error is identical
With the discovery of truth - that the error and truth are simply opposite. They
Are nothing of the sort. What the world turns to, when it is cured on one error, is
Usually simply another error, and maybe one worse than the first one. ~ H.L.
Mencken
MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU WABARIKI WANAHARAKATI,
MUNGU TUBARIKI SOTE . . . . . . . . . .
(my GOVERNMENT my HEAD my NATION my BED)
No comments:
Post a Comment