HII NDO STAGE MUONEKANO WAKE WAKATI WA USIKU KAMA INAVYOONEKANA KUNA BONGE MOJA LA PICHA YA VINEGA HAPO NI FUUULU
KAMA U MFUATILIAJI MZURI WA MA TAMASHA YA NJE HUWEZI KATAA KUWA HILI JUKWAA NI LA KUMPA MSANII HESHIMA KUWA NINAWEZA NA NINA THAMANI, BASI NI VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII PALE BAMAGA NDO LIPO SIO KILA SIKU TUNA YAONA KWA OBAMA TU.
VINEGA NI WENGI SAAAN AKAMA KAWA KUSHOTO NI MZEE WA ISANGA FAMILI MAN SHOWKAZI NA VINEGA WENGINE WOOTE KATIKA KUHAKIKISHA KUWA LEO O PALE BAMAGA PANA CHIMBIKA BALAA
MZEE MZIMA SUMA GANGSTA AKIWA KATIKA POZI LA KUITAMBULISHA STAGE YA KESHO, NAE PIA ATAPAERFORM NA KUWAPA YALE MLIMISS KIPINDI KILE MAPAPA WANABANA
DANNY MSIMAMO PIA NDANI YA MAANDALIZI YA JUKWAA LA KUMCHINJIA PAPA WA MUZIKI NA KUWEKA HISTORIA MPYA YA HARAKATI HIZI ZA KUUKOMBOA MZIKI TOKA JERA
HAPO VIPI ! NDO UTAKUWA UNAWACHEK VINEGA WAKIKIWASHA KIWAKI
VINEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEGA PAMOJA NI PEACE AND LOVE TU
KAMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA KAWA WADAU WAKILIPIGA PICHA PICHA KUUBWA KWA AJIRI YA KUMBUKUMBU ZAO
YAAAAAAAAAAAAAAAAAANI NI FULUUUUUUUUUUUUUU MATAA BASI ITAKUWA FULU BURADANI KWA MASHABIKI
KINNNNNNNNNNNNNEAG KWAXA KING NAE PIA YUUUUUUUUUUUUUUUUUMO
THE LEGENDARY SUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUGU MOTO CHINI NAE AKIWA PAMOJA NA VINEGA WENZAKE KULIWEKA JUKWAA PAZURI ILI BADAE TUPACHIMBE
HUUUUUUUUUUUUUUYU NDO KINEGA RAIS WA DAR SOGGY NAE PIA ALIKUWEPO
VINEEEEEEEEEEEEEEEEEGA NI FULLLLLLLLLLLUUUU
PAMOOOOOOOOOOOOOOOJA NAI HARAKATI TUUUU
EBWANA NI BONGE LA STAGE NEVER BEEN HERE B4.
HATA KINEGA HUYU NAE PIA YUUUUUUUUUPO
(my COUNTRY my HEAD my NATION my BED)
No comments:
Post a Comment